KiSwahili

Karibuni!

Global Cycle Solutions ni shirika la kijamii linalokuza na kuendeleza teknolojia mpya kwa watu waishio vijijini duniani kote, kwa mtazamo wa awali Afrika ya Mashariki. Bidhaa zetu ziliundwa hasa kwa lengo la kuwawezaesha mamilioni ya wakulima wadogo wadogo dunia nzima.

Tunaboresha maisha vijini kwa teknolojia nafuu na bora katika kurahisisha kazi.  Tunauza taa ya solar na chaja ya simu, chaja ya simu ya kutumia baisikeli, chaja ya simu ya kutumia pikpiki, na mashine ya kupukuchulia mahindi.

Taa ya solar inayo chaji simu

IMG_9305

Pro2_1_web

Chaja ya simu kwa kutumia baisikeli na pikipiki

p10009411-600x450

Piki-Piki-Charging

Mashine ya kupukuchulia mahindi kwa kutumia baisikeli

Adapter_V2.2_Photo_1
  

Mashine na kifaa cha mkono kwa kupukuchulia mahindi zinapatikana 

Mashine zetu zinapatikana TFA. Ukitaka kununua kama mjasiriamali, tuna bei ya jumla.   Tafadhali wasiliana +255 766 909 766 kwa kujifunza zaidi.

Pia, chagua KiSwahili pembeni kufurahia zaidi ya tovuti yetu.

Asanteni na Karibuni sana!